Departments

Idara

Idara ya Mitaji ya Umma na Uwekezaji

Idara ya Usimamizi na Usajili wa mali za Umma

Idara ya Rasilimali watu, Utawala na Mipango

Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani

Majukumu ya Kitengo

  • Kuhakikisha ofisi ina mfumo bora na unaotekelezwa “Internal control”.
  • Kuandaa mpango kazi wa ukaguzi wa ndani wa kipindi cha mwaka na kuhakikisha unafuatwa katika utekelezaji wake.
  • Kufanya ukaguzi wa mapato na matumizi ya Ofisi na raslimali zote na kutayarisha ripoti.
  • Kufanya ukaguzi mifumo yote ya kawaida na kielektroniki ambayo inatumika katika ofisi ya msajili na kutayarisha ripoti zake.
  • Kutayarisha ripoti za ukaguzi za robo mwaka, nusu mwaka na mwaka mzima na kuwasilisha kwa Mhe. Waziri wa fedha na sehemu nyenginezo kulingana na matakwa ya Sheria, kanuni na miongozo iliyowekwa.
  • Kukagua na kutoa taarifa juu ya hatua zilizochukuliwa na uongozi dhidi ya hoja za Mkaguzi wa ndani na mkaguzi wa nje zilizotolewa.
  • Kuishauri Taasisi juu ya matumizi bora ya fedha.
logo

Anuani za Ofisi

Ofisi ya Msajili wa Hazina Zanzibar

7 Barabara ya Gymkhana Kikwajuni - Mjini Magharibi

info@trosmz.go.tz

+255 24 223 1095

Systems

OTRMIS

GMS

ZGAMIS

Quick Links

Mwanzo

Kusuhu Sisi

Ripoti Mbalimbali

Kituo cha habari

Machapisho

Idara Zetu

Top Sites

Ikulu

Baraza la Wawakilishi

BOT

OR - Fedha na Mipango

Tovuti ya Zanzibar

Msajili wa hazina Tanzania

© 2025 Ofisi ya Msajili Hazina Zanzibar